Huduma hii inamwezesha mteja kupata idhini ya kuchimba kisima.
Huduma hii inamwezesha mteja kupta Kibali cha matumizi mbalimbali ya maji kama vile: Majumbani, Hotelini, Shule, Mgodini, Ujenzi na uzalishaji Nishati ya Umeme.
Huduma hii inamwezesha mteja kupata idhini ya kutupa Maji Taka, na bila kuathiri Mazingira na viumbe Hai.
Tunafanya Tafiti za Maji chini ya Ardhi.
Pata Takwimu za hali ya Maji katika Ziwa, Mto au chanzo cha Maji.